MAJIBU YA CHINA KWA KOREA KASKAZINI

China ni soko muhimu kwa makampuni mengi ya Korea Kusini, na hata kampuni ya maduka ya jumla ya Lotte haijatengwa,

Kampuni hiyo nambari tano kwa ukubwa nchini Korea Kusini, inapata takriban asilimia 30 ya mauzo yake kutoka China na huwaajiri watu 20,000 nchini humo.

Lakini kwa kipindi cha wiki moja iliyopita, biashara zake zimekumbwa na upinzani kutoka kwa wadukuzi, wateja na washirika.

Siku ya Jumatutu Lotte ilisema kuwa zaidi ya maduka yake 10 kote nchini humo yalifungwa kwa ghafla

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com