RAIS KENYATA AMEOMBA MCHANGO WA UN KUKABILI NJAA KENYA.

Nchini Kenya mambo sio mazuri sana kwa baadhi ya counties kutokana na ukame ambao umekuwa ukiikabili nchi hiyo. Katika mazungumzo aliyoyafanya na kiongozi mkuu wa umoja wa mataifa Antonio Guterres aliyetembelea Ikulu nchini kenya hivi karibuni.

Moja kati ya mambo makuu yaliyozungumzwa na viongozi hao ni pamoja na hofu ya rais Kenyata kuhusu usalama wa nchini Somalia, na ametaka mataifa washirika kuongeza nguvu kwa Africa Union ili kuweza kulimaliza kundi la wapiganaji wa Alshabaab.

Endelea kukaa na @Watupipo.com kupitia facebook na Instagram kwa habari za Africa Mashariki na duniani kote.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com