SUMU YA CHAKULA ILIVYOMPATA RAILA ODINGA.

Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ameshindwa kuhudhuria vikao muhimu leo hii na kufikishwa katika hospitali ya Karen iliyoko eneo la Karen na kutibiwa baada ya kuathiriwa na food poison. Hakuna kati ya wasaidizi wake wali aliyekuwa kuzungumzia aina ya chakula ambacho kiongozi huyo alitumia na kumsababishia madhara hayo, na pia hakukua na kauli rasmi kuhusu majibu yaliyotolewa na daktari hospitalini hapo.

Food poison au kitaalamu (foodborne illness) ni maambukizi yanayompata mlaji wa chakula ambacho kimeathirika na bakteria, au aina salmonella au Escherichia coli (E. coli), au virusi vya norovirus au aina nyingine za sumu zinazoweza kusababisha marthi hayo. Mgonjwa anapopata maambukizi haya huwa anapata maumivu ya tumbo, kutapika au kuharisha. Food poisoning inaweza kupona yenyewe baada ya siku chache lakini watu wengine huhitaji msaada wa daktari.

 

 

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com