CINEMA: WIKI MBILI ZISIKUPITE KABLA HUJAKUTANA NA MAJINA HAYA

Kama bado hujapata bahati ya kuitazama filamu mpya kutoka Bongo Movie inayoitwa Kiumeni kutoka kwenye mikono ya Dir. Nick Marwa, ujue unakosa uigizaji wa wakali wako hawa hapa na wengine kibao.

  1. Mohogo Mchungu
  2. Idris Sultani
  3. Ernest Napoleon

Filamu hii kali ambayo kama asemavyo moja kati ya wasanii waliofanya vizuri Ernest Napoleon inaweza kubadilisha mtazamo wako kuhusu production ya movie za Bongo.

Tazama Trailer yake hapa na ukimbilie kwenye majumba ya Cinema Tanzania kwa wiki mbili zijazo kufurahia Bongo movie.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com