MAcDONALD YAMTUSI RAIS TRUMP TWITTER.

MacDonald kwenye ukurasa wake wa twitter jana waliandika tweet yenye maneno makali kwa rais wa marekani Donald Trump na baadae kuifuta huku wakisema kwamba account yao ilikuwa hacked. Msururu wa Tweet zilizofuata katika post hiyo iliyokuwa na retweet 925 kabla ya kufutwa, watumiaji wa twitter walikuwa na maoni tofauti huku wengine wakisema Macdonald hawakupaswa kuifuta tweet hiyo kwa kuwa kilichoandikwa kilikuwa ni ukweli mtupu.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com