UNAPATA SHIDA YA KUPATA USINGIZI? FANYA HIVI!

OPTION 1

Ikiwa wewe ni kati ya wale wanaopata shida kupata usingizi wakati wa kulala, hauko peke yako lakini tumia mbinu hii ya kitunguu saum (garlic) kukusaidia.

Chukua kikombe kimoja cha maziwa fresh

Kipande kimoja cha kitunguu swaum ((garlic)

Kijiko kimoja cha asali.

Jinsi ya kutumia:

Saga kipande cha kitunguu saumu (garlic) vizuri na uweke kwenye sufuria pamoja na maziwa. Kisha chemsha kwa muda wa dakika tatu maziwa yakishapata moto wa kutosha, weka asali kijiko kimoja na ukoroge, kisha acha yapoe.

Kunywa na usubiri dakika 30 kabla ya kupanda kitandani.

OPTION 2.

Chukua vipande vya kitunguu saum (garlic) na uweke chini ya mto wako.

Harufu ya kitunguu saum (garlic) inasaidia kurelax mwili na itakufanya upate usingizi kwa haraka… Share mbinu hii imsaidie na mwenzako.

#WatupipoTips

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com