UPDATE MPYA ZA ANDROID ZITAKUWA NA HAYA HAPA

Waundaji wa stsytem hiyo maarufu wanazidi kuboresha ufanisi na kupunguza disadvantages kutoka kwenye andrioid app. Kutoka kwenye tangazo lililotolewa na Google, haya yatakuwepo kwenye new Android O.

Battery Life

Kuongeza life battery:The new Android will help your phone to stay awake for longer. Itakuwa inaweka limit kwenye utendaji kazi wa application zako wakati ambapo hujazifungua.

Notification

Inaongeza ufanisi kwenye namna ambavyo utakuwa unapokea notifications kwenye simu yako. With new Android utakuwa unaweza kujibu text au kurespond kwenye comment wakati unaendelea kuangalia video au picha.

Kitu ambacho hakijabadilika tho… Japokuwa android ni mtandao unaotumika zaidi duniani, Updates huwa haziwafikii watumiaji kwa haraka iwezekanavyo kutokana na kwamba mara nyingi watengenezaji wa simu ndio huzisukuma kwa watu. Hivi sasa ni asilimia 3 tu ya watumiaji wa system hii ambao wanatumia Android Nougat ambayo ndio mpya kwa sasa, ukilinganisha na asilimia 79 ya watumiaji wa iOS 10.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com