“WATEJA WANA DHARAU, WANAKOPA NA HAWALIPI” – Yanjux masta boy

Sikiliza mfanyabiashara wa matunda jijini Mwanza akizungumzia biashara yake na David fan wa Watupipo.

Vijana wanajitahidi kutafuta ajira, kwa kijana Yanjux Masta boy ambaye anapatikana maeneo ya stand Mwanza yeye anatoa jasho kuikimbiza shilingi elfu tano kwa siku, ikiwa ni faida katika uuzaji wa matunda hapo mjini.

Yanjux ameimbia watupipo.com kwamba pamoja na hali ya uchumi kuwa ngumu, anasikitika kwamba baadhi ya wateja humkopa na baadae kuamua kutolipa pesa zake kitu ambacho kinamsababishia hasara na kumrudisha nyuma kibiashara.

Imeandaliwa na David

Sikiliza Interview ya Yanjux na David

You may also like...

WP2Social Auto Publish Powered By : XYZScripts.com