HATUA 3 ZA KUFUATA ILI KUWA MCHAMBUZI WA MICHEZO

Mjini Mwanza watupipo.com imezungummza na kijana mwenye ndoto za kuwa mchambuzi wa soka, Emmanuel Manyanda ambaye amesema ameanza safari yake kwa kwa kusakata kabumbu. Lakini Emmanuel anaamini kwamba soka la Tanzania halijapewa uwekezaji wa kutosha.

“katika maisha yangu natamani kumiliki, accademy (ya michezo) na pia kuwa mchambuzi mkubwa wa soka” Lakini kwenye suala la Je Emmanuel na vijana wengine wenye ndoto za kuwa wachambuzi bora wa michezo wanafikiaje ndoto zao? watupipo.com imekukusanyia mambo matano ya kuyafanyia kazi.

#1 Training (mafunzo)

Hakuna mafunzo ambayo yamewekwa maalumu kwa ajili ya kuwa mchambuzi wa michezo (commentator) bali kuwa mwandishi wa habari za michezo ni sehemu nzuri sana ya kuanzia… Pili unaweza ukaanza Career kwa kufuatilia zaidi michezo na kutengeneza ufahamu mkubwa kwenye michezo.

Pili katika mafunzo, ni vizuri ukajitengenezea network ya watu kwenye kiwanda cha michezo na ( sports stakeholders ) kama hujui namna ya kupata network connections anza kwa kuchambua michezo, vijiweni, katika radio za vyuoni, vile vile unaweza ukaanza kuandika uchambuzi wako kwenye mtandao.

# 2 Skills

Ni vizuri ukishape vitu hivi ili uwe mchambuzi mzuri. Jifunze kuongea na kundi la watu kwa ufanisi, Ji shape matamshi yako na speech. Tengeneza uwezo wa kufikiria haraka na kuchambua vitu kwa haraka.

# 3 Skills

Chagua mchezo mmoja ambao unahitaji ku – concetrate nao au chagua kufanya michezo yote kwa pamoja.

Fuatilia interview iliyofanywa na David wa watupipo.com na Emmanuel.

 

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com