GOOGLE NDIO INAONGOZA KWA TRAFFIC DUNIANI

Kwa mujibu wa Data nilizokwangua kutoka mtandao wa ku-measure na ku – analyze online traffic, Alexa… imesema Google ndio mtandao wenye Traffic kubwa zaidi duniani kwa sasa. Cheki hii Listi ya website 5 zenye nyomi zaidi.

  1. Google.com – Mtandao unaokuwezesha kutafuta habari na matukio na taarifa mbali mbali kwa njia ya maandishi, video, picha nk.   (Enables users to search the world’s information, including webpages, images, and videos. Offers unique features and search technology.)

2.  Youtube.com – Video zako zote unaweza kuzihifadhi youtube kwa ajili ya ulimwengu kuona.

(User-submitted videos with rating, comments, and contests.)

3. Facebook.com – Mtandao wa kijamii maarufu zaidi duniani. Kwenye nafasi ya tatu ni hatua kubwa sana.

A social utility that connects people, to keep up with friends, upload photos, share links and More

4.  Baidu.com – Nilikuwa na rafiki yangu kwa jina Kang-kai, jamaa alikuwa anashinda kwenye mtandao huu wa kichina… Kama ilivyo Google, Baidu inakupa nafasi ya kutafuta information online.

The leading Chinese language search engine, provides “simple and reliable” search experience, strong in Chinese language and multi-media content including MP3 music and movies, the first to offer WAP and PDA-based mobile search in China. Less

5. Wikipedia.org – Sehemu ambayo wengi hutegemea kupata information za kuaminika.

A free encyclopedia built collaboratively using wiki software. (Creative Commons Attribution-ShMore

 

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com