UTAHITAJI VITU HIVI ILI KUSAJILI KAMPUNI ONLINE, TZ.

Eazy pizi… Kama utavyoskia wanaojua kimombo wakitamka kwa mbali… Usijali inavyoandikwa mimi nimetamka hivyo kwa sababu ndivyo ilivyo katika kusajili jina la kampuni kwa njia ya mtandao hivi sasa nchini Tanzania. Nili-Google “brela tanzania registration fees” au how to register a company online Brela… Ndio nikaangukia kwenye Info hii muhimu.

Kabla sijakupa maelekezo on how to register a company online in Tanzania, I should remind you a statement by minister incharge of industries Mr Charles Mwaijage, wakati anazungumza na morning show ya Clouds TV Dar es salaam. He said that he found the situation in the system was not friendly to businesess. Kwa manenno yake waziri akasema ametoa maagizo kuhakikisha Brela wanarahisisha utendaji kazi wao na kupunguza mlolongo.

One of the things now we can say BRELA has achieved ni kutengeneza online platform yakusajili na kusearch majina ya makampuni na biashara. Hivi sasa kupitia mtandao wa https://ors.brela.go.tz/ utaweza kufungua account yako… kama vile unavyofungua account ya facebook na kwenda moja kwa moja kwenye menu kuu ambayo utachagua unachotaka kusajili na kujaza jina kisha unasubmit kwa ajili ya majibu.

Hii ni hatua kubwa kwa Tanzania maana suala la usajili wa kampuni lilikuwa linatumia zaidi ya mwezi na moja kati ya process ulikuwa ni kusajili jina. Sasa ili kufungua account yako kwenye mtandao wa ORS ya BRELA… Sharti uwe na vitu hivi.

  1. Anuani PO Box ******     (usiogope kama huna hii unaweza kujaza hata ya katibu kata)
  2. Kitambulisho, Passport, National ID, Driving licence au kadi ya kura.
  3. Ujue sehemu unayotoka… Iko surveyed au Unsurveyed (hii pia usiwaze sana kama hujui chagua unsurveyed)
  4. Majina yako yote uyakumbuke na yawe kwenye kitambulisho.
  5. Namba ya simu.

Ukishakuwa na hivi vitu, you can proudly open your account and start registering business and companies all over Tanzania bila hata kufika ofisi za BRELA.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com