Listen Live!

WHY RADIO IS THE ENGINE OF ALL MEDIA… siri 4 tu!

Hivi majuzi nimekutana na rafiki yangu ambaye ni mwanasayansi mzuri tu. Akaniuliza “so what type of work do you do” Nikamwambia kwa shauku “Ni radio producer natengeneza vipindi vya radio na ni mwandishi kwenye wa masimulizi ya maisha ya watu. Na pia watupipo.com pia utanikuta vizuri”

Jamaa akasema “Oh so you are a funny guy” Hapo nikakosa jibu la kumwambia. Akaendelea kusema “I never see any importance of having a radio… sijuagi kazi muhimu mnayofanya” Nikakosa jibu tena na ndio sababu nikakusanya hizi point chache tu kuonesha umuhimu wa radio kwenye jamii.

  1. Kuitambulisha internet.

Mtangazaji anaongea na watu wengi ambao hawana access to internet na wala hawajui kama kuna kitu kinaitwa internet. Ila baada ya mtangazaji kuelezea mambo mazuri anayoyaona kwenye mtandao wa intenet, baadhi ya wasikilizaji wake wanaanza kutafuta simu na kesho unawakuta Instagram.

Huo ni utambulisho mzuri na mchango mkubwa kwenye jamii maana watu wakiweza kutumia media hizi vizuri, basi elimu itakuwa rahisi kutolewa.

2. Ni chanzo kikubwa cha habari.

Radio inaweza kusambaza habari haraka na kwa ufanisi mkubwa. Mfano kukiwa na event kubwa na inarushwa mubashara radioni mtu aliyeko online mbali na hayuko kwenye evennt, anaweza akaanza kutweet kinachotokea now in Dodoma wakati yeye yuko Mwanza.

4. Rahisi kufikisha ujumbe.

Radio ndio chombo rahisi sana kutoa ujumbe maana, mtu anasikiliza wewe unaongea. Japokuwa hii inaweza kuwa murua zaidi ikiunganishwa na internet ili wasikilizaji nao waweze kuwa sehemu ya mazungumzo, isiwe ni mtangazaji pekee anayeongea kama zamani.

Internet na Digital media imetoa nafasi kwa aina tofauti za trditional media to  adopt the new platform, radio imekuwa moja kati ya media kubwa kwenye mtandao wa internet kama vile Serious-XM na nk.

5. Easy access.

Radio inafikia watu wengi sana na kwa wakati mmoja. Ukiweza kurusha mawimbi kwa watu bilioni moja wanaosikia unaweza ukawafikiwa kuzungumza nao kwa pamoja kama unazungumza na mmoja.

6. Cheap to start

Kwa ujumla ni cheap sana kumiliki radio.  tofauti na ilivyo kwa bundle kwamab lazima ununue ndio upate habari na burudani, radio inatoa free.

You may also like...

WP2Social Auto Publish Powered By : XYZScripts.com