NA UCHUMI HUU WATOTO WENGI WA NINI? – toka Shujaaz

Mara kwa mara nazipekuaga kurasa za kijarida maarufu kwa vijana Shujaaz, kisha ¬†nakuletea stori ambazo mimi binafsi, zinanikosha kutokana na ubunifu uliotumika kuwasilisha ujumbe kwa jamii. Cheki hii stori ambapo mrembo Pendo ametembelea kijijini… Enjoy!

Hii story mimi binafsi nimeihusisha na kijiji kwetu… Unakuta mtu hana kazi lakini kutwa kucha anazidi kutengeneza watoto. Uchumi kama hauruhusu kwa sasa, sio lazima uzae huku baadae unajikuta unateseka maradufu kumlea mtoto… Ni muhimu sana kuzaa, lakini ili usiwe na stress ndogo ndogo, tumia muda wako katika ¬†kuandaa maisha kwa huyo unayetaka kumleta duniani.

Sio vibaya kuchekecha uno kwa kutumia protection. Cheki na jarida la Shujaaz kila jumamosi ya mwisho wa mwezi.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com