KWA NINI WATU WEUSI WANA MACHO YA BLUE?

Its a very tough question kwa mtu ambaye hajawahi kukutana na mwafrika mwenye macho ya blue au kijani… lakini ni swali rahisi tu kwenye mtandao wa Google. Lakini swali ni kwamba kwa nini ni watu wachache sana ambao wana macho ya blue? Where did the blue eyes originated?

Wanasayansi wa chuo kikuu cha copenhagen, waliamua ku- trace watu wenye macho ya rangi ya blue mpaka miaka 8000 iliyopita ambapo aliishi mtu ambaye anasemekana kuwa ndio chanzo cha watu wenye macho ya rangi ya blue.

Sasa ishu hapa sio blue eyes pekee, bali ishu ni “can black & african people have blue or green eyes? haijazoeleka kwa waafrika hasa akina sisi tunaoishi Afrikani kabisa, kuwa na blue eyes na sio brown kama tulivyo wengi. Hivyo wengi ambao hatujakutana na weusi wenye blue eyes lakini tumesha google mara nyingi “does rihanna wear contact lens au what color are Rihanna’s eyes au pengine does Tyra Banks have natural blue eyes? Yote hii ni kwa sababu hatujui kwamba, hata watu weusi wanaweza kuwa na macho mazuri ya blue na ¬†wanatoka fresh.

Kwa kuwa huu sio ugonjwa, ninakuwekea faida na hasara za kuwa na macho ya blue.

Macho ya blue yana upungufu wa melanin ambayo husaidia katika kupambana na mionzi mikali ya jua… Ndio maana hata mcheza tenis Josh hammilton amekuwa akipata shida sana kufanya vizuri wakati wa mchana lakini anapiga sana mwanga mkali wa jua unapoisha.¬†

Lakini pia inasemekana kwamba mtu mwenye macho ya blue, anakuwa vizuri katika task kama zile zinazohitaji kufikiri kwa kina zaidi.

BLACK PEOPLE BLUE EYES FAKE?

Jibu ni hapana, wapo waafrika wengi wamezaliwa na macho ya aina hii, na infact kila mtu inasemekana huzaliwa na macho ya aina hii lakini huongezeka melanin as he/she grow up. Watu wengine hubakia na macho ya blue lakini wengi hubadilika na kuwa brown. Kuwa na macho ya blue ukiwa mwanaume ujue, kuna akina dada wanakumezea mate kwa sana. The same hata ukiwa mwanamke.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com