Listen Live!

3 IDEA’s za kufanya hobies zako ziwe biashara na ajira yako – Audioblog

Sikiliza au soma.

Audio: Abdulkidee

Naitwa Doto, idea yangu ni kufungua kibanda cha kuuza matunda ambapo nitachukua tikiti za elfu 10 ndiz za elfu 10, peaz za Elfu 5, karanga kilo 2, Machungwa ya elfu 10, Matango ya elfu 60, na shilingi elfu 4 itakuwa ya nauli. Hii ni idea ya bei rahisi kabisa ya biashara ya kijana Doto.

Lakini ukiangalia hii ni biashara ya kawaida ambayo Hata kwa Doto alitaka kuifanya tu ili asife njaa.. tafuta yako kama ambavyo Elon Musk amegeuza hobbie kuwa future ya dunia. Wataalamu wanasisitiza kwa vijana kwamba ni rahisi kufanikiwa kama ukiigeuza hobie yako kuwa biashara, kwa maana taifanya kwa mahaba. Hizi hapa idea 4 ambazo unaweza kuziita hobbies lakini ukizitega vizuri ni BIASHARA KUBWA!

MAZOEZI

Siku za hivi karibuni watu wamekuwa wakajali sana miili yao hasa katika maeneo ya mijini. Hii imekuwa dili kwa bodybuilder ambao walikuwa wakifanya mazoezi kwa hobbie tu sasa wamegeuka kuwa Professional trainers ambao wanaingiza pesa nyingi kuliko hata vijana wengine wengi walioajiriwa.

Ikiwa unataka kuanzisha biashara kama hii, unahitaji access ya Gym na unahitaji kutengeneza reputation katika program zako ambazo zitavutia wateja wengi zaidi. Tofauti na biashara ya Gym ambayo unahitaji vifaa tu kuianza, Health fitness unatakiwa kuijua vizuri. Utatakiwa ufahamu aina za mazoezi na afya ya wateja wako, kazi yako ni kuwafanya wawe bora.

KILA MTU HUPATWA NJAA

Amini usiamini moja kati ya matajiri wakubwa duniani ni mmiliki wa migahawa mikubwa ya chakula. Ukiacha biashara ya kulala, kila mtu anahitaji chakula kila siku na sio kila mtu anaweza anapata nafasi ya kutengeneza chakula chake mara tatu kwa siku.

Hii inatoa nafasi kwa vijana ambao wanapenda kupika for fun kusoma mazingira yao na kuangalia “ni nani atanunua chakula hapo ulipo? Siri ya mafanikio katika biashara ya chakula, kwanza ni usafi na chakula kizuri, Ukichanganya na huduma, kauli nzuri na bei zenye ushindani ni rahisi kuingiza pesa nyingi zaidi ya wengi walioajiriwa. Na ni rahisi kushinda ushindani.

BIASHARA YA VINYWAJI

Ukaingalia watu wengi walioanzisha makampuni makubwa ya vinywaji, watakuambia walianza kwa kuuza juice in small scale. Kama ilivyo kwenye biashara ya chakula, binadamu kwa siku atahitaji kunywa maji pamoja na kinywaji kingine either beer au juice.

Siku za hivi karibuni watu wamekuwa makini sana na vitu wanavyokula, kila mtu anataka kula kitu fresh na hili ni soko kwenye upande wa watengenezaji wa vinywaji vyenye afya kama vile juice. Cha msingi kwenye biashara ya uuzaji wa maji na juice ni kwamba, lazima usome mchezo wa wale ambao wako kwenye soko. Siku hizi kuna watu wengi wameistukia hii idea lakini sio kila mtu anaifanya itakavyo angalia wakness zao na utengeneze brand yako kutokana na makosa yao.

Kubwa katika kuanzisha biashara, chagua ile ambayo inakupa nafasi ya kutanua na kuifanya kwa large scale. Epuka biashara ambazo zinaelekea ukingoni na zinazoaribu mazingira kama vile uuzaji wa mkaa nk. Cha msingi tumia passion yako na uangalie vitu unavyofanya kama hobbies, vinaweza kutatua tatizo gani kwenye jamii?

Watupipo

I am the moderator.

You may also like...

WP2Social Auto Publish Powered By : XYZScripts.com