Listen Live!

UNACHOANDIKA KWENYE APP HIZI SIO SIRI

Kama umewahi kuwaza kuhusu usalama wa text yako unayotuma kupitia mtandao, uko na mawazo sahihi. Internet na some mobile application zinaweka message yako na pengine watu wengine wanaweza kui-access bila ridhaa yako. So kuwa makini.

Ili kukusaidia na wewe kwa information nilizopata kuhusu list ya App za kutumiana message ambazo ni salama zaidi na ambazo unatakiwa kuwa makini katika matumizi.

iMessage: Mtandao wa Google ambao ndio wanatoa huduma ya Hangouts, hawajazuia kabisa kuonekana na kubaki kwa ujumbe unaoutuma private, na wanaweza kuutoa hata kwa vyombo vya sheria. Kuna feature ya -of-the record- haimaanishi kwamba ujumbe unafutika kabisa.

Messanger: Huduma hii pia haina end to end feature bila kufanyiwa settings. Kama hutaki message zako zihifadhiwe katika savers za kampuni tumia App ya messanger, ambayo ina option ya “secret”

Telegram: App hii ambayo imejishikia umaarufu siku za karibuni inatoa huduma ya usiri lakini ni lazima uweke mwenyewe kwenye sehemu inaitwa secret chats.

Whatsapp: Kuwa na amani, kila ujumbe unaoutuma kwenye mtandao huu ujue kuwa ni end to end encryption. Lakini pia kwenye huduma ya Whtasapp unaweza ukaongeza security kwa kuweka huduma ya verification.

Confide: Kila ujume kwenye huduma hii hufutika mara tu baada ya kusomwa. Ujumbe kwenye mtandao huu ni end to end.

Ipo mitandao mingine kama vile Signal, ambayo inakuja juu sana kwa sasa. Japo imekuwa kwenye game kitambo, hii ndio huduma inayosifiwa zaidi na watu mbali mbali wa security experts an hata hackers. Signal ni salama na imetajwa kuwa honest kwa watumiaji wake. Unaweza kuniambia experience yako na huduma za kutuma ujumbe ni ipi?

You may also like...

WP2Social Auto Publish Powered By : XYZScripts.com