PALE UMETOA 10-0 C’BACK NA BANDO BADO HALIJAKWISHA Safaricom

Hakuna kitu inaboa kama pale uko kwenye chat na mtoto mzuri halafu ghafla bundle inakata, na unajikuta ni ule wakati huna Mpesa, halafu ni usiku mnene. Kero utakayojiskia kipindi unalazimika kutoka kufuata vocha dukani. Au kuna kile kipindi bando ya Ks50 – 150MB daily, inaisha bila wewe kujua, unaendelea kuchat kumbe unakula kavu kavu… Dakika chache hazikati, unaishiwa airtime na dukani ni distance, ndio hapo mtu hutamani kumtafuna mtu ndani ya supu.

Leo nimefungua kwa mara yangu ya kwanza nimeona, Safaricom sasa hivi wameweka option ambayo inaweza kuzuia airtime yangu isikwishe baada ya bando kukatika. Thanks to @Safaricom now I can muingiza mtu boxi bila stress.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com