CHAT : BIZ ZINAZOWAWEKA TOWN OMG, ndani na nje ya rap

Katika pilika zangu za kutengeneza kipindi cha radio, nilijikuta nikizungumza na vijana wa kundi la rap la OMG, nikaona nikuwasilishie kupitia watupipo.com. @YoungLunya kutoka kundi hilo aliniambia kwamba, wanataka kuifikisha game yao duniani kwa kishindo.

Salmin Swagg, ambaye amepiga verse nzito ya kwanza kwenye mdundo wa Oungo na umbea, aliniambia yeye mpaka sasa hivi bado anatengeneza pesa kupitia talent nyingine aliyonayo ya graphic designing. Hii ni upande wa nje ya muziki lakini nikamuuliza anaonaje ushirikiano wa kundi kufanya muziki? 

You may also like...

WP2Social Auto Publish Powered By : XYZScripts.com