VIDEO : ENJOY EXCLUSIVE LYRICS, CHIN BEES NYONGA NYONGA

Chin Bees ametoa ngoma ambayo kwa sasa inaweza kupewa heshima ya best swanglish Ragga of 2017 across East Africa. Video ya wimbo huu ambayo ime-directiwa na H wa Wameme Entertainment, ni moja kati ya yale mageuzi ya kufanya music videos nyumbani badala ya kukimbilia Afrika kusini.

Watupipo.com kitengo cha burudani kimeandika hizi Lyrics za Club Banger hii. Furahia na uweke comment yako kuongeza chochote. Tuambie maoni yako kuhusu mistari hii. Je ndio maneno sahihi?

 

VIDEO : ENJOY EXCLUSIVE LYRICS, CHIN BEES NYONGA NYONGA

Lyrics hizi hazijaandikwa na msanii Chin Bees bali timu ya watupipo.com kwa kusikiliza wimbo wa Nyonga nyonga wa Chin Bees. Haki za video hii zinabaki kuwa za msanii Chin Bees na Wanene entertainment.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com