YOU WANT A CAR? HIZI ZINATUMIA MAFUTA KIDOGO SANA economy

Unapofikiria kununua gari kwa ajili ya kurahisisha safari zako au hata kuchapa bakora mtaani huku ukisave pesa kibao kwenye matumizi ya mafuta, Ongeza listi hii ya magari 15 yanyotumia mafuta kidogo zaidi. Hatujaongezea prices maana mengi yamechangamka.

TOP LIST hii hapa ipitie.

Mitusubish Mirage

37 mpg.

13,000

Ford Fiesta

31 mpg

$25,000

Toyota Corolla

30 mpg

16,000

 

MINI Cooper hardtop

30 mpg

25,950,

Chevrolet Cruze

28 mpg

$17,850

Honda fit

33 mpg

$16,000

Honda Civic

31 mpg

$19,615

Mazda3

30 mpg

$19,000

Dodge Dart

28 mpg

$20,000

Nissan Versa Note

31 mpg

$19,595

 

Fiat 500

31 mpg

$14,995

Gari hizi sio za bei rahisi zote na zinatofautiana kwa kiasi kikubwa kwa baadhi ya gari na zingine zina bei sawa. Ukiwa unataka kubana matumizi zaidi utahitaji cheap car isiyotumia mafuta pia. Nitakusogezea tena ndinga zinazotumia mafuta kidogo na bei chee zaidi hapa watupipo.com

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com