HEKA HEKA : MAMA ALIYEKAMATWA UCHI AKIDAIWA MCHAWI

Tarehe 20 July kipindi maarufu cha Leo tena cha redio ya watu Clouds fm kimerusha Episode nyingine ya heka Heka ukiwa ni muendelezo wa stori ya mama aliyekamatwa na kushutumiwa kuwa mchawi na kwamba ameanguka na ungo akiwa uchi kabisa.

Unaweza kuifuata Clouds FM kupitia mtandao wake wa www.cloudsmedia.comĀ 

 

HEKA HEKA : MAMA ALIYEKAMATWA UCHI AKIDAIWA MCHAWI

You may also like...

WP2Social Auto Publish Powered By : XYZScripts.com