MBU MIL 20 WENYE BAKTERIA KUUA MBU WENYE ZIKA

Janga la virusi vinavyobebwa na mbu bado ni tishio kubwa duniani hasa ukizingatia mbu ni mdudu mkorofi, mgomvi, mwenye hila na pia anazaa sana kiasai cha kufanya awe mdudu korofi zaidi usiku. Upo usemi unaosema “If you think your too small to make a difference, try sleeping with a mosquito”

Ndio maana Google health imeamua kuachia mbu milioni 20 ambao wameambukizwa virus. Mbu hawa wa kiume wanabeba virusi hivi ambavyo havina madhara kwa binadamu lakini vitasaidia kupunguza mbu wenye virusi vya Zika.

Mbu anayebeba Zika, Aedes aegypti mosquito atakapokutana kimahaba na mbu hawa walioambukizwa bacteria aina Wolbachia bacteria, itakuwa ndio mwisho wao kuzaliana. Jaribio la kwanza la Google health linafanyika huko Fresno California.

Asante kwa kutembelea watupipo.com

Watupipo

I am the moderator.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com