JE MTOTO AMENYONGWA NA KUSEMEKANA AMEJINYONGA?

Katika habari zilizoshika attention ya watu siku ya tarehe 25 ni stori ya mwanafunzi kuingiliwa kimaumbile na kunyongwa. Geah Habib ni mtafutaji wa stori hizi za uswazi na hapa amekutana na mama wa mtoto na baadhi ya majirani. Sikiliza stori hii hapa kwenye Heka heka ya tarehe 25 July.

 

JE MTOTO AMENYONGWA NA KUSEMEKANA AMEJINYONGA?

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com