CARS: MAMBO MATATU MUHIMU KWENYE ROLLS ROYCE PHANTOM 2018

Kwa wale wapenzi wa vitu vya pesa mingi, Rolls Royce imeitoa Phantom generation 9 na wadau wote wamesimama kutoa salute (metaphorically). Sio vibaya nikakuwekea yale Matatu ambayo ni vizuri ukiyajua kutoka kwenye aina hii ya kipekee ya Sedan modeled cars. Najua unaweza usiweze kulinunua kwa sasa, but your dreams are valid.

Bei mbaya

Kwa mara ya kwanza katika historia ya Phantom, hii ndio inakuwa ya kwanza kumtenganisha mnunuzi na kiasi cha dola 500,000 ili kupata moja.

Going green, future ya Rolls ni gari za umeme?

Royce Rolls wamefungua rasmi mawazo ya wapenzi wa magari yake na kusema kwamba wako tayari kwa ajili ya kutengeneza magari yanayotumia umeme ili kwenda na wakati, ofcoz hata mazingira yatashukuru hizi jitihada za wadau kuulinda ulimwengu wetu.

Custom made

Unaponunua gari hili unatumia kiasi cha $100,000 katika kuli-customizeliwe vile unavyotaka, ofcoz sio kila kitu. Phantom hili limejali zaidi mnunuzi anachotaka na ndio maana unatakiwa kusema unapenda gari lako litengenezweje?

 

Asante kwa kupitia article hii ya watupipo.com kama una chochote cha kuchangia kuongeza tafadhali tuandikie watupipo.com@gmail.com pia tembelea www.rolls-royce.com/ kuweka order yako

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com