MCHEKESHAJI MNYATIAJI AMEDONDOSHA JOKES TANO KALI ZA WIKI YA KWANZA AUGUST TOKA SOCIAL MEDIA

Mchekeshaji Mnyatiaji ambaye anasikika kila siku kupitia kituo cha radio cha TBC FM na siku ya Jumamosi kupitia Shujaaz radio show katika vituo vya radio vya Abood FM, East Africa Radio, Chuchu FM, pamoja na Kings FM na TBC FM.

Sikiliza hizi tano kali za kukuvunja mbavu ambazo Mnyatiaji ametuletea.

MCHEKESHAJI MNYATIAJI AMEDONDOSHA TANO KALI KUTOKA ZA WIKI YA KWANZA AUGUST KUTOKA SOCIAL MEDIA

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com