JE UNAJUA UFUNDI WAKO KITANDANI PEKEE, HAUTAMFANYA ABAKI?… Check vitu 5 vinavyowavutia wanawake zaidi ya sex

Moja kati ya matangazo ninayokutana nayo katika mtandao wa Instagram ni pamoja na lile linalo-offer kutoa suluhisho kwa mwanamme asiyeweza kumridhisha mpenzi wake kitandani, hii inaashiria kuna wanaume wananunua na kutumia dawa hizi.

Lakini wakati wanaume wanahaha kuwachezesha sebene lenye joto kitandani wapenzi wao wamesema wao hawajali hata kama unamiliki jukwaa kwa sekunde 20 tu.

Utafiti uliofanywa hivi karibuni wa – Superdrug Online Doctor’s survey, ukihusisha watu 1,500 Ulaya na Marekani wanawake wamesema eti size ya uume, mauno na sarakasi ïngia toka” sio kitu cha msingi sana kwani vipo vingi vinavyoweza kufidia kama vile utaalamu wa kuzama chumvini nk.

Vitu vitano vinavyoweza kumfanya demu akugande dhidi ya sex?

Hapa inaonesha kwa upande wanavyochukulia wanawake mapenzi sio sex pekee. Infact wanawake asilimia 98 wamesema kuwa mapenzi sio sex.

Karibu ya nusu ya wanawake wamesema kuwa wako radhi kudate na mtu ambaye anamalizia dakika ya kwanza mchezoni zaidi ya mtu anayesahau aniversary yake.

So ripoti hii inatujulisha vijana kwamba kuna zaidi ya mikito katika mapenzi. Kuna sanaa ya kumfurahisha mwanamke na kumfanya siondoke na sex sio kitu namba moja.

So  brothers; Cha msingi jifunze kuzitumia silaha zote hizo hapo juu 1 – 5 lakini usisahau kuuweka mwili wako vizuri kimazoezi usingizi mzuri pamoja na vyakula vyenye afya ili uweze kuwa mzuri kitandani bila kutumia madawa ya kuongeza nguvu.

 

Photo credits: Depositphotos

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com