POINT 5 ZA KUFAHAMU KUHUSU KISSING. Haya ndio maeneo ambayo, ukim’busu anakuwa hoi!.

Kwa mwanaume ukibahatika kumtoa out msichana na mkapata good time haijalishi kuwa siku hiyo utabahatika kumaliza mchezo kabisa au la, lakini ikitokea umekosa game siku hiyo Kiss flani amazing litaweka matumaini yako sehemu nzuri.

Lakini kuna vitu kadhaa inpaswa uvijue kabla hujakutana na nafasi ya kunyonyana ndimi na mrembo wako.

1: Kiss linaweza kukupunguzia stress.

Study imefanyika ikijumuisha wanaume zaidi ya 50 na kuonesha kwamba Kiss na vitendo vingine vya kimahaba na romance vinasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza msongo wa mawazo pamoja na kukufanya uwe na matumaini.

2: Mdomoni sio sehemu pekee ya kubusu

Mwili wa mwanamke uko sensitive sehemu nyingi kasoro dada ndala ndefu. Chukulia eneo la chini ya mgongo au kiuno cha nyuma. Eneo hili limeunganisha nerves zote za viungo vyake nyeti so ukipitisha ulimi wako kiufundi utampa mhemko hatari.

Pia unaweza kujaribu sehemu zingine kama vidole vyake, kwa ufundi taratibu unaweza kumfanya afikirie ïkiwa kwenye kidole anajisikia vizuri hivi, itakuwaje chumvini” Muda sio mrefu utahamia kiwanja kingine ulichotaka.

3: Meno yako yawe safi

Pengine unaweza usiwe na meno yaliyopangika na kuvutia, lakini meno masafi ni lazima.

Utafiti umefanywa kwa watu 200 wa umri wa miaka 18-24 na wanawake hawa wakasema sehemu wanazoziangalia kabla tu ya kukiss ni meno. So piga mswaki kabla ya kunyonyana ulimi. Infact ni vizuri kuwa na kinywa kisafi.

4: Kiss inaweza kukupatia bakteria 

Wataalamu walimchukua jamaa na kumpa probiotic kinywaji ambacho kina bakteria wasio na madhara, kisha wakamwacha ambusu partner wake kwa sekunde 10 tu. Vipimo vilivyofuata vilionesha kwamba busu hilo moja lililodumu kwa sekunde 10 limehamisha bakteria millioni 80.

The more you kiss the more bakteria you transfer. Lakini hii isikusumbue sana akili kwa kuwa bakteria wengi wanaokaa mdomoni ni wale wanaokulinda kutokana na bakteria wengine wabaya zaidi kwa afya.

5: Busu linaweza kukupa STD

Wakati unafurahia Bakteria ambao hawadhuru pale mnapo-kiss, habari mbaya ni kwamba kuna uwezekanano mkubwa sana kuambukizwa magonjwa ya zinaa kupitia deep kiss.

Kuna idadi kubwa ya watu wana herpes na kwa hivyo basi ikiwa utamkiss mpenzi wako kipindi ambacho anaumwa mafua au koo likiwa limemkauka kutokana na athari za kikohozi, ukimbusu inakuwa rahisi zaidi kukupa ugonjwa.

Ikiwa mpenzi wako atakuwa katika hali hii ya kuumwa halafu akazama na kuanza kunyonya mashine, ni rahisi zaidi kukuambikiza herpes kwenye uume na ukija kufanya nae mapenzi utamuambukiza kupitia sehemu zake za siri na kwa mwingine na mwingine.

Cha msingi usipende kupiga mpenzi wako mabusu hata kama anaumwa mafua na kikohozi. STOP THAT!

Hata hivyo utafiti umeonesha mwanaume anapombusu mwenzake mbele za watu mara nyingi anataka kuonesha kuwa ana uwezo wa kuvutia mtoto mzuri na pia ni moja kati ya njia za kuweka boundaries kwa wapinzani.

Image by:  Zixter

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com