UNFAITHFUL : “NIMEMDAKA MKE WANGU NA MUUZA MAZIWA” Cheki alichofanya mume baada ya kumfumania mkewe.

Katika County ya Machakos Johnson Munyaka ambaye ni baba wa familia na pastor mbaye anasoma chuo kikuu, amepata pigo baada ya kumkuta mke wake akitafunwa na jamaa muuza maziwa.

Kwa ufupi ni kwamba Mwaika ambaye ndiye mke wa Munyaka, ni kati ya wale wanawake wenye kapepo ka ngono au pengine bwana Munyaka mwenyewe alikuwa haikuni nazi inavyotakiwa hatujui. Sitakuwa judge hapa ila hivi ndio ilivyokuwa.

Kwa maelezo ya Munyaka ni kwamba mke wake amekuwa na tabia za kuchepuka tangu siku nyingi, na kwamba mwaka 2014 alipata taarifa za kuaminika kwamba mke wake ana-cheat lakini baada ya kumwambia, mke wake akajidhuru kwa kujiunguza na moto.

Hata hivyo baada ya kutoka hospitali na kupona, mke wake aliapa kwamba hatarudia kuvunja amri

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com