MUSIC BUSINESS: MAUZO YA CD YANASHUKA HUKU DIGITAL INAPANDA LAKINI… Hizi ndio platform zinauza zaidi kwa digital.

Tuchungulie ndani ya ripoti ya mapato ya muziki duniani ya 2016 kwa ujumla huku kukiwa na highlights za kupanda na kushuka. International Federation of Phonographic Industry (IFPI) kila mwaka huchapisha ripoti hii ya mapato kujua industry ya muziki inaendaje.

Tangu mwaka 1997 IFPI ilipoanza kuchapisha ripoti hii, 2017 ndio mwaka ambao mapato ya recorded music yamekuwa kwa 5.9% na kufikia $15 billion. Digital sales zimefikia nusu ya mapato yote, haya hapa ni baadhi ya mambo ya msingi ya kuyajua. 

Kwa ujumla hizi trend zimeonesha kwamba digital revenue ndio habari ya sasa na baadae pia kwenye soko. Ingawa download zimepungua huku streaming ikipanda.

Endelea kufuatilia watupipo.com kujua update za mauzo ya muziki.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com