Motivation. FACTS 8 KUHUSU BONDIA DEONTAY WILDER… Anamtamani Anthony Joshua

Jina kamili : Deontay Shun Wilder – @Bronzebomber

1

Deontay Bomber ni bondia kutoka nchini Marekani ambaye anashikilia taji la WBC heavyweight.

2

Deontay alianza boxing mwaka 2005 akiwa na umri wa miaka 19

3

Ameshapigana mara 38 na ameshinda mechi zote. 37 kwa KO na mechi mja kwa points.
Ameshapigana na bondia wengi zaidi kutoka America.

4

Ametumia muda mwingi kuchora Tattoo mwilini mwake, Wilder anasema anapenda sana kuandika stori ya maisha yake mwilini mwake.

5

Aliacha chuo ili kufanya kazi na kusapoti mtoto wake.

“nimefanya kazi katika makampuni manne ikiwemo Budweiser ambapo niliamka saa kumi asubuhi na nilibeba bia kupakia katika Truck nililokuwa nikiendesha, nilikuwa bado Boxer mchanga na hii kazi niliichukulia kama mazoezi yangu ya asubuhi”

6

Anajitolea kusapoti gym ya watoto huko Alabama na pia anafundisha watoto boxing.

7

Katika pambano lake na Bermane Stivarne, alimpiga ngumi mpinzani wake huyo mpaka chuma iliyowekwa kwenye mkono wake ikapinda.

Wilder anasema alisikia mkono wake ukiwa unashika ganzi lakini alimalizia pambano na kushinda. “Hivi ndio Champions wametengenezwa”

Facts hizi za Deontay Shun Wilder zikufanye usimame imara kwenye post yako na kuwa Champion.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com