PHOTO OF THE DAY KUTOKA KWENYE MAANDAMANO NCHINI KENYA.

Mmoja kati ya waandamanaji akijaribu kuwatoka Polisi kwa mbio. Ukiwa muandamanaji ni lazima uwe na skills kama za mchezaji wa soka mfano wa soka za kulipwa.

We unaona huyu muandamanaji amepiga muondoko kama mchezaji gani pale EPL? Pogba? Ronaldo?

Here is the original photo

Unaweza kusikiliza matangazao live ya radio stations bora kutoka Africa mashariki kupitia watupipo.com … Bonyeza juu kwenye Listen to live radio stations

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com