SABABU 5 ZINAZOFANYA MWANAUME ASISIMAME VIZURI.

Nguvu za kiume ni pamoja na kusimamisha vizuri, na hii ni moja kati ya kitu muhimu sana kwa mwanaume. lakini ni moja kti ya vitu vinavyoweza kutoweka kirahisi sana usipokuwa makini.

Hii list nyingine ya vitu ambavyo vinaweza kukusababishia ukawa na mdodororo wa mdindo.

1. Receipts :

Zile karatasi zinazotolewa kwenye supermarkets na ATM machine zina high level of bisphenol-A ambayo ni chemical inayochangia kuzalisha female hormones. Uzalishaji huu wa hormone za kike estrogen, pamoja na hormones nyingine husababisha upungufu wa kusimama uume.

2. Sukari :

Sukari katika soda, cake na sehemu zingine zinachangia kuongeza kiwango cha glucose ambayo ina stimulate insulin. Hii inabomoa uzalishaji wa testosterone na mwisho wa siku kichwa wazi anakosa ngvu za kusimama uzuri.

3. Usingizi :

Kama unalala kwa saa chache kila siku, ujue testosteron zako zinashuka kwa kasi maana uzalishaji unakuwa mdogo. Zipo sababu nyingi na moja wapo ni kwamba usiku ndio mwili hutengeneza hormone hizi muhimu kwenye usimamaji wa uume.

4. Soy :

Matumizi ya kila siku ya vyakula vyenye estrogen-like properties, yana dondosha testosteron level zako kwa kiasi. Tafiti zimeonesha kuwa matumizi ya kawaida ya Soy hayana shida lakini ukizidisha. Usimamishaji wako utakuwa kwenye hatari.

5. Kukaa ndani kwa muda mrefu :

Dakika 15 za jua kwenye mikono yako kila siku ziakusaidia maana kukaa ndani muda mrefu kutapunguza uzalishaji wa testosterone kwa kiasi cha asilimia 20. Hii ni kwa sababu Vitamin D ni muhimu sana kwenye uzalishaji wa testosterone na usipopata vitamin D kwenye chakula au jua… jiangalie sana.

Viko vingi vinavyosababisha ushukaji wa T level kwenye mwili wako hivyo unatakiwa ujiangalie sana. Kila Wiki nitakuwa nakusogezea Tips za afya ili usibaki nyuma.
Hivi sasa unaweza kusikiliza live radio stations kupitia watupipo.com

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com