Hivi ndivyo Hassan anaingiza zaidi ya laki tatu kila wiki kutokana na Strawberry

Hii ni story ya kutufundisha uthubutu.

Kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya shopping ya nyumbani kwangu siku ya jumamosi asubihi, najua ratiba mara nyingi huwa ni mechi au Netflix and chill so vinywaji kwa ajili ya washkaji pamoja na mazaga ya kutumia na shemeji yako huwa ni muhimu.

Kati ya matunda ambayo lazima yawepo kwenye list siku ambazo shemeji yenu anakuwaga around ni matunda ya mahaba aina ya Strawberry.

Michezo ambayo shemeji yenu anapenda kufanyiwa lazima kuwa na pipi kifua, Strawberry, Ice cream, asali na vingine vingine vingine.

Tuachane na mambo ya michezo ya shemeji yako, nataka nikuambie kuhusu shock yangu niliyowahi kuipata baada ya kusoma story kutoka kwenye jarida la Shujaaz kuhusu kijana anayelima matunda ya Strawberry.

Ilikuwa ni shock kwangu kwani siku zote nimekuwa nikidhani kwamba matunda haya yanaingizwa nchini Tanzania kutoka South Africa kama ilivyo kwa matunda ya Apple.

Hii ni story ya kutufundisha watafutaji kitu muhimu sana kuhusu uthubutu. Fuatilia.

Kijarida hiki cha Shujaaz hutoka kila jumamosi ya mwisho wa mwezi na kuna stori nyingi sana ambazo zinaweza kukufungua macho kama hii ya kijana Hassan wa Morogoro. I am sure kwa sasa ameshawashawishi wengi kufanya kilimo cha aina hii.

Karibu tena Watupipo.com, kama una lolote kuhusu chapisho hili usisite kunicheki kupitia watupipo Facebook au Twitter.

 

Chapisho hili ni haki ya jarida la Shujaaz.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com