Listen Live!

Hizi picha 20 mbaya za Adam Mchomvu, zitakuthibitishia uchizi wake kwenye fashion.

Ulimwengu wa fashion Tanzania haumuachi mtu salama. Adamu Mchomvu amenithibitishia kwamba yeye ni mmoja kati ya designers wa kuheshimiwa katika industry ya mavazi.

Mchizi ni OG. Fashion yake ni natural vijiti.

Sema mzee baba hili shati kama unaenda Hawaii… kumbe mzee pengine unakula vitu vyako na wana kitaa.

Kajitanuuua utadhani ye ndio kasababisha crack between Vanessa na Jux… “watu wengine wananunuaga kesi hivi hivi”

This is one of my favourite mkato msimu huu wa Fiesta 2017… Kanyela iiiiiiiiiii iiih!

All in all I think mpaka hivi sasa from Kenya to Tanzania… Mchomvu is the number one HIP HOP designer.

Eti jamani… Roma, Stamina, Ben Paul wanakesi ya kujibu? Au kuangalia ruksa kugusa 30?

Infact Mchomvu kwa kitendo anachokifanya hapa anastahili kulala ndani atuambie kama kuna baya lolote alikuwa anawaza.

Adam Mchomvu is a rapper and radio presenter for XXL Clouds fm.

watupipo.com salute brother! Keep up the spirit.

#BuildingEastBrands #EastBrands

You may also like...

WP2Social Auto Publish Powered By : XYZScripts.com