NEW JAM: Hii ndio ngoma unaweza tumia kuchinjia mtu kwa keja – “Lote” King Kaka

King Kaka leo hii ametubariki na kichupa cha ngoma yake mpya inayoitwa Lote. Ngoma hii ni ya kubembelezana na kufanyiana mambo ya kitandani so kabla hujaitazama usitegemee King akionesha mambo za base na wasee au mambo za rap ngumu… Hii ni rap ile unatumia wakati unachinja mtu kwa keja.

“Wacha mwili zisomane nitalipa school fees”

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com