Ngoma mpya ya msanii Baby Blaq – Mishe umetufikia. Sogeza sikio.

Baby Blaq, alitutembelea siku chache zilizopita na akatuahidi kuna mdundo mpya unakaribia kutoka. Baada ya siku chache hizo kupita ametubariki na wimbo mpya unaitwa Mishe

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com