PICHA: Huu ndio ukumbi atakao-perfom Diamond Platnumz London. Dec 17

December 17 msanii kutoka Tanzania East Africa, Diamond Platnumz atafanya show yake ya kwanza London baada ya kuachia album yake ya A boy from tandale.

Ukumbi atakaoperfom Diamond unaitwa Indigo at the o2, wenye uwezo wa kuchukua watu 2800. wasanii wakubwa waliowahi ku-perfom katika ukumbi huo ni pamoja na Trey Songz, Black Eyed Peas, Blondie.

Tumeucheki ukumbi huo na picha zake hizi hapa ujionee.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com