Hivi ndio tulivyoamua ku-show love kwa Elizabeth Michael (Lulu). Kazi zake tu.

Baada ya Elizabeth Michael kufungwa miaka miwili. Watupipo tumeamua kuzipitia kazi zake alizofanya kwa wiki nzima.

Kama kuna movie nyingine ambayo, Lulu amecheza na hatujaiweka kwenye hii list, tafadhali tukumbushe kupitia Facebook au Twitter.

Movies alizocheza

 

Share na vijana wa Africa Mashariki tuoneshane kwamba no matter what happen to a person… Bado tunaheshimu na kuwapenda na kupenda kazi zao.

Tumpe Moyo wa kwa ku-share Cool information about her, Tumeanzia kwenye Movie alizofanya.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com