Vanessa Mdee Ft Maua Sama ni kama, Brandy na Monica – Video

Two divas kutoka kwenye industry ya Bongo fleva wameachia mkwaju unaitwa Bounce. Hii ngoma imetukumbusha ngoma mbili kwa mpigo, Bounce along ya Wayne Wonder na The boy is mine ya Monica na Brandy.

Vyovyote vile tuonavyo… This collabo is one of the best to be released between girls in east Africa.

Here is the video.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com