Jamaa aliyepata upofu wakati akifanya mapenzi, aeleza kilicho sababisha.

Vipo vitu vingi vya ajabu, vinaweza kutokea wakati unapiga bao (ejaculate) Kama vile kupiga kelele, kubanwa na misuli au hata kujing’ata, lakini suala la kupata upofu wakati unafika kileleni sio la kuhadithia taratibu.

Kijana mmoja nchini Uingereza amekimbia hospitali, sababu jicho lake moja lilishindwa kuona baada ya kupiga bao kwa nguvu zake zote. Ajabu right?

Well kijana huyo mwenye miaka 29 alikuwa na mpenzi wake usiku uliopita wakibadilishana sehemu za siri. Lakini kesho yake utamu uligeuka kuwa sintofahamu.

Kijana huyu alimwambia Dr kwamba jana yake alikuwa na mechi nzito na baada ya bao za kutosha kuamka asubuhi jicho lake la kushoto likawa halioni vizuri.

Daktari alipofanyia vipimo akakuta kwamba jamaa ana hemorrhage (kupasuka kwa mishipa) kwenye jicho lake, ambayo ilizuia kuona kwake kwa ufasaha.

Dr alisema kwamba tatizo la kijana huyu linaweza kuwa lilisababishwa na bao alilopiga jana yake. Akasema kwamba inaonekana jamaa alifanya kitu kinaitwa Valsalva. (Kujizuia kupumua na kukaza misuli ya tumbo la juu wakati unataka kujizuia usipige bao)

Katika kujikamua huku, jamaa akapasua mishipa midogo ambayo ilisababisha ashindwe kuona.

Bahati mbaya, tatizo hili halikuwa na dawa badala yake, daktari alimshauri jamaa akae na hali hiyo ikaisha taratibu.

Sasa watupipo eeh, hakuna haja ya kupasua macho kwa sababu ya kuzuia bao.

Kama wewe ni mzee wa tako tatu bao (Unakojoa haraka) Zipo njia nyingi za kukufanya uweze kurefusha mchezo kitandani.

Lakini pia utamu wa penzi au kumridhisha mwanamke, sio lazima kwenda mbio ndeefu mpaka upofue macho. Kuna njia za kuweza kumridhisha mpenzi wako ukamfikisha kilele kwa muda mfupi sana na mkaendelea kubaki na macho yenu salama.

Cheza kwa step kidogo baba eeh!

 

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com