Wakenya walivyopokea zawadi ya Sauti Sol, baada ya Uhuru kutangazwa mshindi.

Muda mfupi tu baada ya mahakama ya Kenya kutangaza kufutilia mbali shauri la kuzuia matokeo ya uchaguzi uliofanyika October 26.

Kundi la muziki la Sauti Sol limewapa wapenzi wake zawadi ya ngoma inayoitwa Melanin. While video yake ambayo imeshirikisha warembo wa ki- Africa itakufanya uweke kwenye repeat. Ngoma hii sasa inafanya vizuri kwenye mtandao wa Youtube.

Mapokeo ya watu so far tunaweza kusema ni 97% wanaipenda ngoma hii na kukubali kwamba Sauti sol sio watu wa mchezo.

Cheki baadhi ya reactions za wapenzi wa muziki kuhusu mdundo huu.


You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com