Vituko 9 vya waliotazama video ya ROSTAM, Kibamia. Kibamia itapendeza.

KIBAMIA ni jina la ngoma mpya ya Rappers wawili wakubwa Tanzania, Roma pamoja na Stamina wanaojiita ROSTAM.

Ngoma yao baada ya saa 5 tu za kuwepo mtandaoni ilitazamwa zaidi ya mara elfu 45. Comments zaidi ya 500 huku watu wakimsifia Dr Shika kwa kutisha kwenye video hii, kwani alipotokea tu akachukua mtoto.

Mh!! Maua na wewe 900 imekuponza

Maua Sama amepewa sifa nyingi sana kwenye comment. Lakini pia ROSTAM wamesifiwa sana kwa kufanya wimbo mzuri na kwa wakati muafaka.

Hii hapa VIDEO na reactions 9 kutoka kwa fans tofauti walio tazama video hii (majina tumeyatoa)

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com