Itazame Official Trailer ya Marvel – Infinity War imeachiwa rasmi.

That time of the year again. Kwa wapenzi wa Marvel. Trailer ya movie mpya ya Avenger imeingia mtandaoni.

Avengers: Infinity War ni movie ya Kishujaa ambayo inatokana na Comic book za Marvel. Movie hii imetengenezwa na Marvel Studio’s. Huu ni mfululizo wa movie za Avenger ambapo ya kwanza ilitoka mwaka 2012 na nyingine 2015.

Mpaka sasa Marvel Cinematic Universe imeshatengeneza movies 19.

Mzigo huu umepigwa picha Scotland, England, New York City  Pinewood Atlanta Studios.

Kwa Africa mashariki movie hii itakuwa released 2019. Lakini kwa wale wazee wa pirates, mwakani tu 2018 movie hii itaoneshwa IMAX nchini Marekani

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com