Msanii Nandy ametusimulia jinsi alivyofanywa mpango wa kando – The East Way!

Kila mmoja wetu ana stori yake katika mapenzi. Nyingine za kufurahisha na nyingine za huzuni. The best female artiste, 2017 award winner Nandy amesimilia jinsi alivyofanywa mpango wa kando katika mahusiano, na jinsi alivyogundua.

Nandy alikuwa akiongea na Abdulkidee na Gabriel kwenye podcast ya The East Way. Sikiliza hapa.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com