Hivi ndio Africa itahamia Ulaya. But watu watabaki wakichomwa moto.

Ungetegemea sisi tunaotegemea kilimo na mvua kwa ajili ya ku-survive tulinde zaidi misitu kuliko nchi zilizoendelea kama Spain au Italy. Well this is actually the opposite.

As much as tunajaribu kukimbizana na kutafuta maisha bora. Ni wazi kwamba shughuli zetu zinaharibu mfumo wa maisha ya dunia kama tulivyo ukuta.

Kiwango cha misitu kimekuwa kikipungua dunia nzima kwa miaka kadhaa sasa mfululizo. Vyanzo vya maji vimekauka kwa kasi na jangwa limeongezeka.

Lakini kwa taarifa zilizotoka juzi na kuchapishwa na jarida la ecomomist, baadhi ya nchi tajiri zimechukua hatua kuhakikisha misitu inaongezeka badala ya kupungua.

Nchi hizi ni

  1. Spain imeongeza kiwango cha misistu yake kutoka asilimia 28  mpaka 37 hivi sasa.
  2. Greece na Italy kiwango cha misitu kimeongezeka kwa asilimia toka 28 mpaka 32.
  3. Ireland ilikuwa na kiasi cha asilimia 1 tu ya misitu. Hivi sasa kuna asilimia 11 ya misitu nchini humo.

vitu viwili vimetajwa kuwa ni sababu ya kuchangia ukuaji huu wa misitu.

  1. Wakulima wanapoona maeneo hayana rutuba na mazao hayakui vizuri wanaamua kuacha kilimo na misitu inaota eneo hilo.
  2. Serikali za maeneo haya, zimewapatia ruzuku wakulima wa misitu na kufanya wapande miti kwa wingi.

Je hii ni mbinu ambayo tunaweza kuitumia pia katika Africa mashariki kuongeza kiwango cha misitu ambacho kimepotea na kinaendelea kupotea?

Hivi sasa kilimo cha miti ni oja kati ya kilimo chenye thamani sana. Itakuwa kama serikali zingeamua kuweka ruzuku nzuri kwa zao la misitu. We are sure tungesaidia kupunguza kiwango cha carbon kinachoingia kwenye anga letu.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com