Kwa miaka 35 sasa, Air force ndio sneaker bora zaidi duniani. Cheki hizi best design.

Mwaka 2017 ni mwaka wa 35 tangu kampuni ya Nike ilipoanza kutengeneza. Bila ubishi tunasema kwamba hii ndio Sneaker bora zaidi ambayo imewahi kutokea duniani.

Katika sherehe ya maadhimisho, NIke ilitoa nafasi kwa designers wapya kuweka maujanja yao kwenye design tofauti za Air force.

Design by Errolson Hugh

Design by Kareem “Biggs” Burke

Design by Don “Don C” Crawley

Design by Virgil Abloh

Design by Travis Scott

 

You may also like...

WP2Social Auto Publish Powered By : XYZScripts.com