Utabiri : Imebaki miaka 100 na kila kitu unachojua kitapotea.

Once again wakati tunaanza mwaka 2018, kila mmoja ana malengo yake ameyaweka kwenye njia tayari kwa safari ya mafanikio.

Hii inaweza kuwa nzuri, Lakini kwa upande wa mazingira mambo sio mazuri kabisa. Tumeiharibu dunia kwa kiasi kikubwa sana kutokana na maendeleo ya viwanda.

Hivi sasa Mwanazuoni Stephen Hawkings ametutahadharisha kwa mara nyingine kwamba, binadamu ataweza kuishi duniani kwa miaka 100 ijayo kabla ya kupotezwa au kuhama.

Stephen ambaye alitoa utabiri wa kwamba dunia itakwisha ndani ya mika 1000, lakini sasa amepunguza utabiri wake na kusema kwamba sasa dunia itatuvumilia kwa miaka 100 tu ijayo.

Pamaoja na kwamba Stephen ni mtu mwenye akili sana, tunaweza ku-prove wrong na kuanza kuangalia njia na mienendo yetu towards enevironmemt.

Changia kuboresha mazingira na sio kuharibu. Play your part.

Anza kwa kuchangia mti katika Kilimanjaro project, ili kuusaidia mlima wetu kuishi maisha marefu zaidi ya ilivyo sasa.

 

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com