Mayai 3 baada ya mazoezi yatakupa mwili wa kimahaba. Misuli in 5 minutes.

Once again baada ya siku ndefu ya Thrusday 5th Jan. Kama wewe ni mpenzi wa mazoezi na hasa wewe ambaye unapenda kunyanyua vitu vizito na kutengeneza misuli. Hii kwa ajili yako

Chakula ni muhimu sana kwenye mazoezi, na aina ya chakula unachokula kinaweza kukupa matokeo mazuri au mabaya kwenye mazoezi yako.

Ili upate misuli na kuchana vizuri unapaswa kula protein ya kutosha ili kuweza kusapoti repair ya misuli iliyotumika. protein ndio inachangia kwa kiasi kikubwa kutengeneza misuli yenye afya.

Tumia mayai matatu kila baada ya kufanya mazoezi na hasa baada ya kunyanyua vitu vizito, imethibitika utakuwa umeuongezea mwili wako misuli.

Angalizo : Hakikisha umekula yai zima na usitoe chochote kwa mujibu wa chapisho la American Journal of Clinical Nutrition

Huko nchini Marekani ulifanyika utafiti ambap wataalamu wa tafiti, walichukua vijana kumi wenye rika sawa, wakawagawanya kwenye makundi mawili halafu wakawapa mayai baada ya kuwafanyisha squat.

Kundi moja kila mmoja akapewa mayai mazima dakika tano baada ya mazoezi. halfu kundi lingine likapewa mayai yaliyotolewa kiini.

Baada ya masaa matano walipowapima vijana wote wakagundua kwamba, waliokula mayai yote walikuwa na kiasi kikubwa cha fiber repair tofauti na wale waliokula mayai yasiokuwa na protein.

Kula kwa starehe lakini pale unapoamua kuweka afya yako mbele kula kwa mpango ni muhimu. Work out, eat healthy, Enjoy life.

Photos : Whydontyoutrythis.com

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com