MEN: Matunda 3 yatakayokusaidia kufanya sex kwa muda mrefu. The end of one minute man.

Suala la mwanaume kupiga kasia tatu na kushusha wazungu libaki 2017, mwaka huu wa 2018 ni mwaka wa perfomance kwa wanaume.

Wanawake tulio zungumza nao wametuambia kuwa mwanaume anayefanya sex na kumaliza kwa dakika moja, hawamtaki.

Wengi kutokana na aina ya vyakula wamepoteza uwezo wa kufanya mapenzi na kuwaridhisha wapenzi wao. Basi maunda haya matatu ambayo yanapatikana kwa urahisi sana yatakuwezesha kufanya mapenzi kwa zaidi ya dakika 20-45.

Parachichi (Avocado)

Tunda hili lina ladha nzuri na kama ukiweza kuliweka kwenye mlo wako kila siku, utakuwa vizuri in no time.

Kuna Vitamin B6 ambayo inakupa nguvu na kukufanya uwe na uwezo wa kustahimili mchezo. Lakini pia avocado linasaidia mfumo wa damu.

Watermelon

Tukiachana na utamu na maji mengi yaliyomo ndani ya Watermelon. Tunda hili lina amino acid ambayo inasaidia kufungua mishipa ya damu vizuri na kusaidia mwamko pia damu kuingia katika viungo husika kwa wingi.

Tunda hili limewahi kupewa jina la Natural Viagra. Jaribu kunywa juice ya kutosha ya Watermelon then utaona matokeo yake baada ya dakika 30.

Banana

Ndizi ni aina nyingine ya natural Viagra. Ndizi za kuiva zina madini ya Potasium, Bromelain na Riboflavin ambayo inaongeza hamu ya kufanya mapenzi na kuongeza uwezo wa mwanaume kusimamisha.

Pia ndizi inasaidia mwanaume kufanya mapenzi kwa muda mrefu.

So brothers. Tunafahamu matunda haya sio bei nyingi sana, lakini thamani ya mwanamke aliyeridhishwa ni kubwa. Fanya jitihada usikose matunda haya kwenye diet yako au usikose kutumia baadhi ya matunda haya kila mara ikiwa umeshindwa kutumia yote.

 

 

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com