Wanawake wanapaswa kutumia Bamia zaidi. Sababu hizi hapa.

Bamia ni mboga ambayo Watanzania wengi wameizoea. Bamia inatumika kwa ajili ya mboga kama vile mrenda nk.

Tumezitafuta taarifa kuhusu faida za kiafya ambazo utazipata ikiwa utatumia bamia kwa wingi.

Protein

Kwanza kabisa bamia ni kati ya mboga chache za majani zenye kiasi kizuri cha protein. Mbegu za bamia zina protein ambayo ni kitu muhimu sana kwa afya ya mwili wako, especially hamu ya mapenzi.

Tumbo

Bamia zinasaidia digestion. Zina filaments zenye uwezo wa kurepair michubuko tumboni. Hii inaweza kusaidia uclers pamoja na kuondoa sumu tumboni.

Kisukari

Inapunguza glucose mwilini kwa kucontrol kiasi cha sukari kinachofyonzwa na mwili wako. Hii itasaidia kuupa mwili uwezo wa kupambana na kisukari.

Mimba

Inaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kwenye afya ya uzazi. muhimu zaidi, inasaidia kupunguza uwezekano wa kuzaa mtoto mwenye mapungufu au kilema.

Mifupa

Inasaidia mifupa kutokana na wingi wa vitamin k.

Asthma

Inasaidia Asthma kutokana na vitamin C. Bamia vile vile inasaidia kupumua. Unaweza kutumia majani ya bamia ili kutibu pneumonia.

Cholesterol levels

Kutokana na uwepo wa fiber pectin kwenye bamia, inaweza kusaidia kupunguza cholesterol mwilini. Pectin inajulikana kwa kuondoa Cholestrol mbaya mwilini.

Inasaidia ngozi

Smooth skin ni moja  kati ya vitu unavyovipata kwa kula bamia. Itasaidia kusafisha ngozi na kurepair tissue za ngozi.

Nywele

Okra inarekebisha nywele na kufanya ziwe smooth. Itafanya ngozi ya kichwa kuwa na afya na kupumua.

Kutokana na bamia kuwa na madini ya vitamin c, calcium, manganese, magnesium na chuma, inasaidia kuongeza ulinzi wa mwili wako.

So kuna kila sababu ya kutumia bamia zaidi kwenye vyakula vyetu.

You may also like...

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com